Lindi la maangamizi
Tunaogelea katika bahari iliyojaa vitisho kochokocho vya maangamizi. Kila uchao, ni visa na mikasa kuhusiana na jinsi bahari hii inavyozidi kuchafuka. Machafuko ya kila aina. Ugaidi, ajali za barabarani, ubakaji, wizi wa mabavu, ushoga...